Pages

Friday, February 8, 2013

SWAGGA ZA HARUSI!

Wadau wale mnaopanga kuchukua jumla jumla siku za karibuni, sio mbaya mkijipanga kwenye mavazi kuendana na wakati.

Inabidi bwana harusi utoke na catalogue kuendana na umri wako....

Angalia hapa chini, colour blocking ya wapambe wa bwana harusi ilipendeza saaaana!. Mambo ya wapambe wote wa bwana harusi kuvaa suti za rangi moja limepewa changamoto hapa...

Huwezi kujua bwana harusi ni yupi jinsi walivotoka smart group nzima!..awesome!


Kwa mahitaji yako yote ya suti ya harusi na za wapambe, Lorenzo fashionsDar  ndio jibu lako. Utaoneshwa suti classic na catalouge zinazoendana na wakati husika. Ukinunua pieces nyingi utapata punguzo la bei pia.

Wasiliana na Lorenzo fashionsDar kwenye 0757-429923 upate mali up to date na ya uhakika kwa bei nafuu.

Jinzi ya kuagiza, tupigie simu, tuambie ni suti ya aina gani unapendelea, rangi unayoitaka, size yako, na design ya hiyo suti, utaletewa sample kadhaa popote ulipo Dar es Salaam, Utakagua mzigo ukiipenda utailipia na kupendeza...alternatively unaweza kutembelea display point yetu mpya iliyoko ghorofa ya kwanza, Babecov Complex, Buguruni Dar es Salaam...

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...