Zipo suti za function mbalimbali kuanzia harusi hadi za ofisini.
Pia kuna style mbali mbali kuanzia single button, double buttons, 3 piece na nyinezo nyingi.
Wale wapenzi wa Designer brands pia zinapatikana kuanzia White Pigeon, Gucci, Pierre Cardin, Giorgio Armani, na wengineo.
Suti hizi ni za Italy, Turkey, Thailand na Hongkong.
Bei inarange kuanzia 150,000 to 200,000 rejareja, na jumla ni maelewano.
JINSI YA KUAGIZA/ ORDER!
Sisi ni wasambazaji wa suti kwa wenye maduka, pia tumeanza kusambaza rejareja, kama unahitaji tupigie simu au tuma email, elekeza aina ya suti unayohitaji, rangi, size, style na material then utaletewa kokote ulipo Dar, utaikagua ukiipenda utalipia.
Suti hizi ndo zile ukizikuta dukani bei ni mara 2 au zaidi. Wenye mabotique tunawasambazia sisi ndo wanadisplay madukani.
Ukichukua kwetu utazipata kwa nusu bei, ya bei za dukani.
Contacts (Kwa ajili ya kuoder)
Phone 0757429923
Email: lorenzofashionsdar@gmail.com
Wekeni picha za suti mlizonazo tuchague.
ReplyDeletePia ni nzuri mkafungua facebook group mtapata wateja wengi tu.
cyberteq007@gmail.com