Pages

Saturday, February 23, 2013

SOCKS TREND ALERT

Wengi wetu tunatabia ya kutojali sanaa ni socks gani tunavaa kama ilivo kwa suti au suruali na shati. Tunajiamini hazionekani bwana so it shouldn't matter.

Anyway for the few who care the colour combination is the new socks trend. Si mbaya na wewe ukijipatia zako, jst incase.


Tuesday, February 12, 2013

RETURN OF WHITE!!!!!!!!

White imerudi kwa kasi sanaa wajameni! And it makes you look realy smart!





TAI! DETAIL MUHIMU SANA KWENYE TAI YAKO!


Tai ni detail muhimu sana katika muonekano wa suti yako!

Tai inaweza kuipendezesha suti na kuiweka on point au hata suti iwe ya gharama gani, tai inaweza kuifanya iwe shabby!

Wengi wetu huzani tai ni tai tu! La hasha tai lazima iendane na shati ama suti.

Ona jinsi tai ilivoweza kustand out na kuipoteza suti kabisa katika mionekano hapo chini!




Saturday, February 9, 2013

SUTI ZA HARUSI ZINAZOBAMBA KWA SASA

Kwa wale mnaotaka kuhalalisha na kuchukua jumla, katika suala zima la suti siku hiyo special ninapenda kuwapa angalizo la trend zinazobamba kwa bwana harusi kwa sasa.

Ukiwa bwana harusi wa kileo lazima uvae kulingana na times hizi! Pata ideas on what is on trend now..and make it happen!!




Friday, February 8, 2013

MALI MPYA IMETUA LORENZO FASHIONS DAR! WASAMBAZAJI WAKUBWA WA SUTI KALI JUMLA NA REJAREJA DARESALAAM!

Mzigo mpaya wa suti nzuri na za ubora wa hali ya juu umetua jijini ndani ya Lorenzo Fashions, wasambazaji wako wa suti kwa jumla na reja reja.
Zipo suti za function mbalimbali kuanzia harusi hadi za ofisini.
Pia kuna style mbali mbali  kuanzia single button, double buttons, 3 piece  na nyinezo nyingi.
Wale wapenzi wa Designer brands pia zinapatikana kuanzia White Pigeon, Gucci, Pierre Cardin, Giorgio Armani, na wengineo.
Suti hizi ni za Italy, Turkey, Thailand na Hongkong.
Bei inarange kuanzia 150,000 to 200,000 rejareja, na jumla ni maelewano.
JINSI YA KUAGIZA/ ORDER!
Sisi ni wasambazaji wa suti kwa wenye maduka, pia tumeanza kusambaza rejareja, kama unahitaji tupigie simu au tuma email, elekeza aina ya suti unayohitaji, rangi, size, style na material then utaletewa kokote ulipo Dar, utaikagua ukiipenda utalipia.

Suti hizi ndo zile ukizikuta dukani bei ni mara 2 au zaidi. Wenye mabotique tunawasambazia sisi ndo wanadisplay madukani.

Ukichukua kwetu utazipata kwa nusu bei, ya bei za dukani.

Contacts (Kwa ajili  ya kuoder)

 Phone 0757429923
Email: lorenzofashionsdar@gmail.com

 


SWAGGA ZA HARUSI!

Wadau wale mnaopanga kuchukua jumla jumla siku za karibuni, sio mbaya mkijipanga kwenye mavazi kuendana na wakati.

Inabidi bwana harusi utoke na catalogue kuendana na umri wako....

Angalia hapa chini, colour blocking ya wapambe wa bwana harusi ilipendeza saaaana!. Mambo ya wapambe wote wa bwana harusi kuvaa suti za rangi moja limepewa changamoto hapa...

Huwezi kujua bwana harusi ni yupi jinsi walivotoka smart group nzima!..awesome!


Kwa mahitaji yako yote ya suti ya harusi na za wapambe, Lorenzo fashionsDar  ndio jibu lako. Utaoneshwa suti classic na catalouge zinazoendana na wakati husika. Ukinunua pieces nyingi utapata punguzo la bei pia.

Wasiliana na Lorenzo fashionsDar kwenye 0757-429923 upate mali up to date na ya uhakika kwa bei nafuu.

Jinzi ya kuagiza, tupigie simu, tuambie ni suti ya aina gani unapendelea, rangi unayoitaka, size yako, na design ya hiyo suti, utaletewa sample kadhaa popote ulipo Dar es Salaam, Utakagua mzigo ukiipenda utailipia na kupendeza...alternatively unaweza kutembelea display point yetu mpya iliyoko ghorofa ya kwanza, Babecov Complex, Buguruni Dar es Salaam...

Tie Less Trend

Sometime you dont need a tie with your suit to look smart! Check out how they pulled their look without the tie.



Delicate piecess zinazofanana na hizi za Hollywood zinapatikana Lorenzo Fashions. Both Single Button na double buttons pia zipo.

Pieces ni very classic, and well tailored.

Price inarange from 150,000/= to 200,000/=.

Kuagiza: Tupigie simu, specify your size, rangi unayoipenda, material unayopendelea, design unayopendelea kama ni single button au yoyote utaletewa popote ulipo Daresalaam.

Ukishaikagua ukaipenda, utailipia Cash.



DRESSED TO IMPRESS!!!!

This is the look that makes the ladies speechless for a minute, focused on the details of your outfit! Watch out the details of colour blending. How the red tie blended amazingly to the white shirt and the blue coat! The details of the coat. Outfit perfection is attained.



Kama umependa mkato wa Hili koti na rangi yake, Suit yake inapatikana Lorenzo Fashions. Tupigie simu,  chagua rangi, na material unayopendelea, tutakuletea popote ulipo Daresalaam, utaikagua ukiipenda utalipia.

Price ranges from 150,000 to 200,000 quality guaranteed!
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...