Mzigo mpya Grade 1 suits toka Turkey, Umewasili ukiwa umesheheni designs mpya na kali zaidi za suti za 2013 zikiwemo Tuxedo za Ukweli kwa ajili ya events na harusi, 2-3piece, 1-3buttons, slim fits za kila material na kila rangi!
Bei ni ile ile 150,000-200,000 kutegemeana na ukali wa suti yenyewe!
Kuagiza piga simu 0757429923, tuambie size, design na rangi halafu utaletewa ulipo popote Dar es Salaam. Ukiipenda suti utailipia, Usipoipenda hutochajiwa chochote...unaweza pia kututembelea kwenye ofisi yetu, Floor ya kwanza, Babecov Complex, Buguruni..Dar es Salaam
Sample ya Mali iliopo! (Hizi ni baadhi tu, nyingine iko piece 1, nyingine piece 4, hivo-hivo..wahi kabla hazijaisha....)