Pages

Saturday, December 14, 2013

Mzigo mpya wa suti kwa ajili ya Christmas umeingia...

                                       Come pick your Christmas season suit now!!!
Call 0757-429-923 or email lorenzofashionsdar@gmail.com for more details!
You can also visit our new display point on the 1st Floor, Babecov Complex Building, Buguruni.
 

Saturday, November 16, 2013

Je unahitaji suti kwa ajili ya graduation/harusi/ofisi?

Jibu ni Lorenzo fashionsDar. Tunakupatia suti kali za aina mbali mbali za kiume kutoka Italia, Uturuki, Thailand na Hong Kong. Suti zetu ni za ubora wa hali ya juu na gharama nafuu kuliko sehemu nyingine yoyote Afrika mashariki..

huu ni mfano wa tunachoweza kukupatia..

Make: Giorgio Armani/Daro
Fabric: 50% wool, 50% Polyster
Type: Executive slim fit suit (2 button)
Color: Executive black
Bei: TZS 200,000/= 
Mawasiliano: 0757-429-923 na/au email: lorenzofashionsdar@gmail.com

Saturday, October 19, 2013

Executive persona - executive choices (suti kali sana za kiofisi)


Make: White Pigeon
Fabric: 50% wool, 50% Polyster
Type: Executive slim fit suit (2 button)
Color: Pale grey, corporate color
Price: TZS 200,000/= 
Contact: 0757-429-923 or email: lorenzofashionsdar@gmail.com




Saturday, October 12, 2013

You can still wear a color other than black for your special occasion.....

Do you feel that you need to wear something other than a black suit for your wedding?

Well, I would support you. Though over the years, black has maintained its class being presidential, a color of the masters, there is no harm in one trying something new.

Imagine how nice it would feel to have this chocolate color tuxedo for your wedding....









Indeed...just like you thought..it would declare you a fashion pioneer...and make you glow with awesomeness..


Call 0757 - 429-923 now for more information on how you get this or other choices in our store... 


Monday, October 7, 2013

Ipendezeshe harusi yako............

Hii tuxedo mpya imewasili, iko store...inafaa sana kwa harusi na mitoko ya casual..bei yake ni TZS 200,000 pekee..wahi ziko chache sanaa.....

Lorenzo fashionsDar ndiyo habari ya mujini kwa sasa.......piga 0757-429-923!!


Saturday, September 21, 2013

Make your wedding stylish & Unique


Unadhani itakuchukua muda gani kuamua rangi ya/(za) harusi au sherehe yako? Je unazo sababu kwanini umechagua rangi hizo na si nyinginezo? Je ungependa kuifanyia sherehe yako sehemu gani na kwanini? Décor je? Ni kitu gani unahisi kitakuwa cha tofauti sana kati yako na harusi ya mtu mwingine yeyote uliyohudhuria hivi karibuni?

Nyakati zimepita ambapo harusi ilikuwa tu ni siku ya kualika ndugu na jamaa wakae nawe, muende kupiga picha za ukumbusho photo-point, mle na kunywa na kutoleana zawadi halafu kila mtu arejee kwao. Hizi ni zama za kuweka ‘class’ na utofauti (uniqueness) kwenye sherehe/harusi yako…wapatie watu sababu ya kuikumbuka harusi/sherehe yako hata baada ya miaka 5 ijayo..kuanzia kwenye uchaguzi wa rangi, designing, location ya sherehe, urembaji (decors),…na meengi mengineyo!....

Nimeshawishika kuweka hapa picha za harusi hii kati ya mtanzania Bw. Nathan Chiume na mrembo  Jerryanne Heath raia wa Jamaica iliyofanyika huko New York…Picha za harusi hii zikiwa zimepigwa na Petronella Photograghy..embu jionee..



Pete yenye madini ya Tanzanite!!……ladies ni kama ninaona mnavyotoa macho na kutamani…..


Nathan na Anne wanadai kuwa waliamua kuchagua rangi za blue bahari na njano kwa sababu huwakumbusha kuhusu bahari na jua…je ni kwanini wewe ulichagua rangi za harusi yako?





Wawili hawa waliichagua siku yao ya harusi (June 21, 2013) sababu ni summer solstice, siku ambayo huwa ndefu kuliko siku nyingine zote za mwaka (kumbuka Jiografia..ha ha)

















Katika harakati za kutafuta kumbi sahihi ya kufanyia sherehe yao, Nathan na Anne walizunguka zaidi ya kumbi 10 tofauti wakijaribu kutafuta ukumbi unaoendana na ‘concept’ yao ya harusi..mpaka walipofanikiwa kupata ukumbi wa The Grandview in Poughkeepsie – umbali kama wa masaa mawili hivi kutoka jiji la New York….



Pamoja na mambo mengine, ukumbi ulikubali kuweka kila kitu ikiwamo vyakula katika machaguo ya maharusi hawa…







Urembo ulionakshiwa na utamaduni wa kiafrika..hii ilikuja baada ya Nathan na Anne kutembelea Tanzania na Jamaica kuliko na asili yao, na kupata vionjo hivyo vinavyoonekana…


Saturday, September 14, 2013

Friday, September 6, 2013

Dressed by Lorenzo fashionsDar.....


A nice & cool black tuxedo....if you have it, she'll obviously want you close all the time!!!!!..call 0757-429-923 now and we'll get you a nice suit for your wedding!!


Come here and select your favorite suit now.....

                                       1st Floor, Babecov Complex...Buguruni, Dar es Salaam.

Every fashionable wedding has a touch of us now!!....don't let yourself be the last!!


Sunday, June 2, 2013

Wedding Swagger!!!!!!!!!


Accessories za suti zimewasili!

Piga simu 0757-429-923 utuambie aina ya suti unayoitaka na utaletewa popote ulipo (ukiwa Dar es Salaam). Usipoipenda hutochajiwa chochote. Bei ni nafuu kabisa kutegemeana na Quality na Material unayopendelea!

Karibuni sana!!!!!!!!!!!

Friday, May 31, 2013

Mzigo mpya wa suti umetua!!!!!!!!!!!

Mzigo mpya Grade 1 suits toka Turkey, Umewasili ukiwa umesheheni designs mpya na kali zaidi za suti za 2013 zikiwemo Tuxedo za Ukweli kwa ajili ya events na harusi, 2-3piece, 1-3buttons, slim fits za kila material na kila rangi!

Bei ni ile ile 150,000-200,000 kutegemeana na ukali wa suti yenyewe!

Kuagiza piga simu 0757429923, tuambie size, design na rangi halafu utaletewa ulipo popote Dar es Salaam. Ukiipenda suti utailipia, Usipoipenda hutochajiwa chochote...unaweza pia kututembelea kwenye ofisi yetu, Floor ya kwanza, Babecov Complex, Buguruni..Dar es Salaam

Sample ya Mali iliopo! (Hizi ni baadhi tu, nyingine iko piece 1, nyingine piece 4, hivo-hivo..wahi kabla hazijaisha....)
















Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...